THE BITTER PAST
Hi babe, oh sorry, hi ex yaani wewe mwenye uliiba heart yangu ukaniacha na pain Nawonder ni nini uligain but thanks ulinitrain kujiexplain na usithani siko sane Ulinichocha Eti hupendi make up kumbe ulihepa gharama but sikuwekei lawama najua doo pia ulikuwa huna Nilidress poa na hio natural beauty yangu nikuimpress as the man nililove but we ni ungrreatful nawonder mbona ulicheat though nilimeza P2 nikusave ndo usiwe dad but bado ulicheat na huyo beshte yangu tu Kwa kesi zako nilijitolea niwe mfungwa but bado we msaliti ulikuwa big lier Ulinichocha Eti kwa love yangu you never tire but pia ni sawa Nilikuweka wallpaper nikiopen simu nkuone, DP yangu ilikuwa picha yako but sikujua ulikuwa wallpaper ya huyo dem nilimuita beshte yangu nyi wote wasaliti waongo Sijui nani aliwapa hongo Nilinotice attention yako ilikuwa kwa phone sana tukiwa kwa nyumba but nikaasume labda we ni networker unasaka client kumbe ulikuwa patient deeply sick unapewa dose na huyo daktari wako hatari but haina noma sijutii kukulose you were so fake sijali hata ukizama kwa lake Nilikupa time yangu kumbe we careless ningejua hadi mi ningecare less Si hata ungewrite note labda ningenote badala ya kufight We muongo Ulinichocha Eti I was y
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
