So Letu Chaguo.
Uislamu Ukristo ni yetu imani, So kigezo cha chuki Kwa waumini, Lengo moja sifo Kwa Manani, Dini Sio Letu Chaguo. Mwisho wa mja Kiyama, Menakili msahafu so zangu kalima, Bibilia hivo hivo maneno ya Gharima, Dini Sio Letu Chaguo. La mwisho jamani si zote mandugu, Tusunne Kwa wingi tuache ugumu, Tuwe maasumu pendo siwe adimu, Dini Sio Letu Chaguo.
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
