SIRINI MWA MOYO
funika kibakuli funua,moyo wa huzuni sura yangu jamani nyeusi fi,yenye huzuni nifanye mara hivi mara vile,nazidi umia kisha kujiumiza kwaniandama,ninajikwepa naanza andika kazi,usiku kwa asubuhi moyo mwema sipati,naumia moyo moyo hisia nisizielewe,mchana kwa usiku natamani kuacha,kujiumiza umiza nashindwa eleza,kama pande mbili sijui niseme,sijui niseme ni vile tu,sitaki wawaze sijui niseme,sijui niseme wanasema maisha safari, navyopita ndio jinsi najongea ila niendapo ni mbali,sijui ka ntafika natembea nahisi hisia,wangu wabaki mdomo wazi na hali isiyo hali,sijui ka nitaifanya hali Maajah Poetry
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
