Nikumbuke
kwenye mvua ya barafu ulihitaji jua kwenye giza ulihitaji mwanga kwenye jangwa ulitamani mvua kwenye upweke ulihitaji faraja kwenye makosa ulihitaji msamaha lakini kwenye mapenzi ulihitaji muda leo kwenye vinavyo ishi nimekufa kwenye furaha niko namani kiroho nipo moyoni mwako siwezi kukuona ila nakuhisi siwezi kukukumbatia ila nakulinda katika bustani hii nakusubili tuishi wote Nikumbuke kwa tabasamu langu na sio machozi nikumbuke kwa makuu yangu na sio madhaifu nikumbuke kwa upendo wangu na sio chuki nikumbuke maana kwangu utakuja kumbato nitakupa bustanini tutaishi nikumbuke moyoni mwako kwa kumbukumbuzetu, mawazo yangu hata maneno yangu nikumbuke.
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
