MWANGA WA TUMAINI
Katika giza la msiba, mwanga huzaa, Maumivu moyoni, lakini bado najua. Tumaini limebaki, Mola huyajua, Kifo ni hatua, si safari ya mwisho. Tazama angani, kesho bado ni mwema, Bado kuna mwanga baada ya giza, Usikate tamaa, endelea kusonga, Kwa kila giza, mchana wa mwanga hufuata. Tumaini ni jua, haliyeyuki kamwe, Ni nuru ya roho, iking’aa kwa thamani. Kesho ni mwema, maisha yaendelee, Moyo wenye matumaini hufariji kilio kisilie SHEILA CHELELGO
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
