MAURICE
kwa mengi yangu makosa,. iliyo kufanyia rabi zako nikikosa Maurice, mimi nitaumia maisha ya taabu, na nyingi dharubu naweza vumilia, wangu dhahabu yako majaribu, nitaumia waungwana sikizeni, muifikishe nasema kwa upole mwelezeni, ayafahamu kwa kina salamu zangu mpeni, ajue usiri sina nimebaki kitandani, kutoka nje imekua sumu kimya chake sitamani, mwambieni afahamu ooo salamu zangu mpeni, ata kama ni kwa simu natuma salamu zangu, ziende kwa Manani wangu Namshukuru Manani, kwa muda mwema nawe ulinipoza machungu, mwenye wingi wa huruma umeumbika lakini, mzuri kukitazama umpole kwa hakika, kwa uwezo wake Mungu siku tatu nyumbani, ulipata shida sana ukiwa na uchovu mwilini, Maurice machovu uloyaona usiku kikusukuma, hutambui shida yangu wakesha ukifikiria, nini hiyo shida yangu kweli mi msichana, ila kakusumbua sikuwa naelewa, kwamba nitakupenza na pia ni kawaida, kuhusiana vile ulivyofanya nielewe, nimekwisha elewa wewe zaidi ya kaka, rafiki wa karibu ila mbona sasa hivi, kaniacha nikiumia baada ya moyo kuvunjika, siku hiyo nakuombea na mema, daima nitakupeza nisamehe naomba, maana nimeshapona Maajah Poetry
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
