lugha gani
Niongee lugha gani lugha ya mapenzi lugha ya maumivu lugha ya uchungu hisia zangu mbona zinaongea moyowangu mbona unaongea akiliyangu mbona inaongea mwili wangu pia unaongea Nikuite nani malkia wangu dunia yangu au bahari yangu mpenzi wangu au mchumba wangu roho yangu au moyo wangu nijinagani unataka malkia wangu.....? Nurath.🕊️
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
