Latifu Wa Huruma.
Ola Mola hana za mkizi hasira, Ola alivyoketi katu hajefura, Ola alivyo na tumaini si kugura, Latifu natutakia Pepo so Jehanam. Sio si Pekee pia nao Waislamu, Sio tu Wazee pamo na Maghulamu, Sio tu hao sikitiko ila na wao tajiri binadamu, Latifu natutakia Pepo so Jehanam. Mja liumbiwa doa ,Sa muda wa Kusunna, Mja mda ni huu, kumrudia Maulana, Mja thawabu zatungoja,kifika kuonana, Latifu natutakia Pepo so Jehanam.
Ad
Poetry Books 50% Off
Bestselling collections from top poets
Shop Now →
